MAMBO 5 TOFAUTI KUHUSU MAYUNGA

Mayunga_Nice_Couple_Sleeve_001_lrg
Airtel Trace ni  shindano ambalo lilishirikisha nchi 13 kutoka katika ukanda wa Africa. Mayunga ambaye ndiye aliyeibuka mshindi na kupata mkataba wa kufanya kazi chini ya recod label ya msanii mkubwa dunia Akon.
Mapema leo Mayunga alieleza mambo matano taofauti ambayo kama ni mwana sanaa lazima ujue na pia yale aliyokutananayo katika shindano hilo. Mayunga alisema”
Ndoto yangu tangu mwanzo ilikuwa ni kuwa msanii wa kimataifa tangu naanza muziki, hili ni jambo la kwanza.Jambo la pili ni unapopata nafasi hakikisha unaitumia ipasavyo maana nafasi haiji mara mbili,hivyo unapopoata nafasi jimalize hapo hapo bila kusubiri. Man Water ana mchango mkubwa katika muziki wangu, licha ya kutokusaini mkataba ila najiona nipo ndani ya Combination wakati wote.Mayunga hakusita kuendelea kuwaeleza wasanii mbalimbali walijitokeza katika jukwaa la sanaa ndani ya Basata.
Pia wasanii wenzangu napenda mjue lugha haimati katika sanaa, kama una kipaji watafuta namna ya kukuelewa hivyo usijione hujui kitu kama eti kisa tu hujui lugha ya kimatifa. Tupende kufanya mazoezi,ukweli sanaa yetu inahitaj mazoezi ili uwe bora wakati wote.

picha Mayunga akiwa na Akon baada ya kutangazwa mshindi

Andrew-Mayunga-Airtel-Trace-Music-Star-winner-5

www.tizneez.com

Facebook tizneez Twitte tizneez Instagram tizneez Youtube tizneez