MADEE AMPA GARI DOGO JANJA

Mdeeee-2222

Msanii Madee ambaye ndiye kiongozi wa wasanii katika kundi lake la TipTop Connection lenye maskani yake Manzese Dar es salaam.

Madee ameendeleza upendo wake kwa msanii wake Dogo Janja,Si mara ya kwanza kwanza kumpa zawadi ya gari bali hii ni mara ya pili.

Mapema jana Madee alimzawadia Janja gari aina ya Benz, zawadi hiyo ambayo alisema “nimetoa hii shauri ya Abdu Bonge kwaajili ya kumuenzi, na mengi yatakuja kila mwaka ifikapo mwezi wa tatu.

Kupitia mtandao wa picha Instagram Dogo Janja aliandika ” dogojanjatz Sijui Niongeee Nini…… Ila @madeeali Wacha Nimuachie MUNGU! Ntaongea baadae “mercedes benz” @tiptopconnection

janjaro

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez