MADEE AFURAHIA USHINDANI ULIOPO WA KUTOA VIDEO KUBWA NCHINI

c62aMadee2
MADEE AFURAHIA USHINDANI ULIOPO WA KUTOA VIDEO KUBWA NCHINI..ASEMA ZAFANYA MUZIKI WA BONGO KUPAA JUU ZAIDI EAST AFRICA
Mkali wa bongofleva @madeeali amesema anafurahia ushindani mkubwa uliopo kwa wasanii hapa nyumbani hiv sasa wa kutoa video kali zenye hadhi ya juu licha ya kua zinawagharim
Rapa huyo kutoka tiptop amekiri kuwepo na ushindan mkubwa wa kiyoa videos kali na akasifu hatua hyo akisema kua kwa kua kila mmoja anatoa vodeo kali basi ni jambo la kujivunia hilo kwa maendeleo ya muziki wa bongo.
Madee amesema kua suala hilo linafanya muziki wa bongo kua katika hatua nzuri zaid kwa sasa kulinganisha na sehem nyingine za Afrika ya mashariki.
pia ameongeza kua wasanii na wadau wanapaswa kufurahia hatua hii kwa kua ni ya maendeleo na akasema anaepinga maendeleo huyo ni mchawi.
madee alipiga story nami kupitia #kijikamerachakuvi katika uzinduzi wa video ya #achiabody ya mkali @ommydimpoz
Source Jabir Saleh #the jump off Times fm