Lord Eyez Azungumza kinachomkera sasa kwenye muziki.

Lord Eyez Azungumza kinachomkera sasa kwenye muziki.

Hela yangu ni wimbo wake unaofanya vyema kwenye ramani ya  muziki wa kizazi kipya. Lord ni moja katika ya wasanii ambao walikuwa wanaunda kampuni ya Weusi lakini pia kundi la muziki wa hiphop Nako 2 Nako.

Lord Eyez ambaye sasa amesema anasimaam yeye katika kazi zake na sio kujali tena kampuni wala kundi bali yeye mwenyewe.

Mapema leo katika kipindi cha Ladha 3600 akizungumza katika segment ya Fresh Newz alisema kile ambacho kinamchukiza katika muziki wa sasa wa hiphop.

Ambacho ni lord eyes achukizwa na mumble rap asema ni utoto.

Sikiliza hapa  chiniakizungumza