LINEX “USUMBUFU WA RAY C ULIFANYA NIIMBE MWENYEWE”

Linex-444

Kwa hela ni wimbo wake unaofanya vizuri sasa,mkali tokea pande za kigoma Linex Sunday Mjeda. Aifola, Wema kwa ubaya, Mama Halima hizi ni baadhi kati ya nyimbo zake zilizonyingi zilizowahi kufanya vizuri katika ramani hii ya Bongo Fleva.
Akiongea katika kipindi cha Hatua Tatu ndani ya Times Fm,kinachoongozwa na Maryam Kitosi na Mkisi Junior linex alisema “Moyo wa subira nilimuandikia Ray C na nilimtengenezea mpaka melody Ila kutokana na usumbufu niliopata wa nenda rudi nyingi kutoka kwa Ray C nikaamua kuutumia mwenyewe”. Linex anasema “
naamini Ray C anajua ana uwezo mkubwa kwenye muziki sasa kwa sababu namkubali sana na namuheshimu Ray C na niko tayari kumuandikia wimbo mkali sana bure muda wowote kama zawadi.
Twitter tizneez

Facebook tizneez
Instagram tizneez