Linex Tusiishi kwa wakati uliopita

index

Linex Tusiishi kwa wakati uliopita

Mama Halima ni wimbo wake uliomtambulisha vyema kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya.

Linex ambaye miezi kadhaa nyuma alionekana kuongea maneno yasiyofaa juu ya mtayarishaji mkongwe wa video Adam Juma, kwa kile alichodai Adam kumfanyia video chini ya kiwango. Video hiyo ilikuwa ni wimbo wa salima.

Linex hakuwa mzito katika kufuta kauli yake ambapo alisema “Ni wazi tusiishi kwa wakati uliopita ni vyema kutazama ya sasa zaidi. Binafsi sina tatizo na Adam Juma na nimemtumia wimbo wangu mpya nataka tufanye video, ila amekuwa bize na documentary kadhaa hivyo naendelea kusubiri. Lakini pia nimecheki na Kwetu studio hivyo atakae kuwa na muda tutafanya kazi.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

Source Fnl Eatv