LINEX NITAWAPA ZAWADI WATANZANIA BAADA YA UCHAGUZI

MJEDA

Mama halima ni wimbo  wake iliyompatia umaarufu mkubwa katika ramani ya muziki wa bongo fleva.Na baadae kutoa hits song nyingine kama moyo wa subira,aifora pamoja na nyingine nyingi

Kupitia mtandao wa picha Instagram linex aliandika “ntadrop new single baada ya uchaguzi that song itakuwa kama after party ya watanzania baada ya kuwachagua viongozi tulivote kwa kukubali sera zao kiroho safi haki tena utaipenda produced by Iron ManTuddy Thomas”

Bado siku tano tuweze kupiga kura hivyo ni vyema kupiga kura kwani ni haki yako ya msingi lakini epuka vurugu au uchochezi wowote.Tanzania ni nchi ya amani. #uchaguziwaamani

Unaweza kuw rafiki yangu

Facebook.com/tizniz

Twitter.com/tizneez

Instagram/ tizneez