LINEX “NAJIULIZA KWANINI BARNABA ANANIKIMBIA?”

Star wa wimbo wa kwa hela Linex ambaye aliwahi kufanya vizuri na nyimbo kama Mama halima, Kuwa na subira, Wema kwa ubaya pamoja na nyingine nyingi.

Kupitia mtandao wa Twitter aliandika “Barnaba nimekuwa nikikuamini kwenye utunzi na uimbaji lakini je why unakimbia kukutana na  mimi, kwenye wimbo mmoja na mdau kaweka dau”

Na msanii Barnaba kupitia mtandao wa picha Instagrama alijibu kwa kusema ”

            Eti waungwana! Samahani Na Naomba Mnisaidie ukweli Mimi Uwa nakimbia Kweli ..!!Sasa nakushangaa Sana Mzee Linex Unapoleta adithi Za Mimi kukimbia Mzee Kweli wewe!! Mimi nikukimbie Au wewe umekimbia Uwezo Mzee.! kingine Nataka Nikwambie Wewe linex Najua Unapenda Sana Nyimbo zangu Na pia Uwa unapata Baadhi Ya line Mbili 3 zinazokusaidia Ndugu Yangu alafu Mwambie mdau Aweke Dau nililosema Mimi Sio wewe Na kwanza Mimi sinaga Dau mana Muziki kwangu Ni Chakula sasa Sikusomi Mzee Jesus is my Power

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez