Linex Amuomba Master J kurudi studio

linex

Linex Amuomba Master J kurudi studio

Linex ni moja kati ya msanii anafanya vyema katika muziki wa bongo fleva. Vibao vyake kama Kuwa na subira, Mama Halima, Wema kwa ubaya, Kwa hela na nyingine ndizo zilizompatia umaarufu mkubwa katika ramani ya bongo fleva.

Linex hakusita kuweka wazi hisia zake juu ya Master J ambapo alicomment katika post moja ya mtayarishaji mkongwe Master J ambapo aliandika “Blaza unaonaje kama ukikumbushia kwa kunipigia mdundo mmoja mkali sana lol namaanisha.”Ambapo pia Master Jay hakusita kujibu na kuandika “Inshaallah my brother.”Lakini pia Linex hakusita kuweka msisitizo ambapo aliandika tena “Namaanisha bro tena namaanisha sana Master J kumbushia.

Ikumbukwe Master J alitangaza kuacha kutengeneza muziki mwaka 2005.

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez