LINAH AELEZA KUHUSU BILL NAS

Linah2

LINAH AELEZA KUHUSU BILL NAS

Katika kile kinachoendela kuzungumziwa na walio wengi katika mitandao ya kijamii kuhusu mahusiano ya Linah na Bill Nas. Hakika wengi wameendelea kuamini kuwepo kwa mahusiano ya kimapenzi kati msanii Linah na msanii Chipukizi Bill.

Linah hakusita kuweka wazi ambapo alisema “Sina mahusiano na Bill Nas kwasasa nipo single na sihitaji kuwa katika mapenzi. Pia nahang out na watu wengi kama Bonge la nyau na wengine kwanini watu wanahisi Bill Nas?Kiukweli sina mahusiano nae.”

Linah sasa anafanya poa na wimbo wake na No Stress ndani na nje ya nchi.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

 

Source Fnl Eatv