Lamar Muziki unataka uwekezaji.

Lamar-1

Lamar Muziki unataka uwekezaji
Ni miongoni mwa watayarishaji ambao wamewahi kufanya ngoma nyingi na kali ndani ya ramani ya muziki wa kizazi kipya.
Akiongea na Team tizneez alisema “Kwanza nimekuwa nikisikika kwenye refix zaidi, lakini ilikuwa ni kuchallenge tu maana nimeshafanya muziki wa kizazi kipya sana tu.”
Pia Lamar hakusita kuiambia Team tizneez juu ya Record Label yake ambapo amasema “nina wasanii wawili katika studio yangu, Joh Maker na Musen Rita na tumesharekodi ngoma nyingi tu. Ila muziki unataka uwekezaji zaidi yani video hata swala la promosheni hivyo lazima tujipange vyema.”

www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez