LAMAR ATAJA PRODUCERS ANAOWAKUBALI TZ.

Lamar pix
LAMAR “ATAJA PRODUCERS ANAOWAKUBALI TZ”
Moja kati ya watarishaji mahili Lamar ambaye alikonga nyoyo za waliowengi hasa katika midundo yake ambayo ni wazi wakati wake alikuja kwa upekee wake.
Lamar ambaye ni moja kati ya watarishaji ambao walikuwa wakimpatia zaidi msanii Chidd Benz katika ngoma kadhaa kama Pompo pisha.
Kupitia ukurasa wa Twitter tizneez imekuwa ikiendesha maswali ya online mara kwa mara, na wakati huu ikafika zamu ya Lamar. Ambapo tizneez ilimuuliza “Tunajua wewe ni miongoni mwa producers wa siku nyingi je!yupi ni producer wako bora kwasasa?
Kupitia mtandao huo wa Twitter Lamara hakusita kujibu ambapo aliwataja watatu ambapo ni Nahreel, Mr T touch, Daxochall na Rdgthe411.
www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez