Lamar Akanusha taarifa za kumchukua Chid Benz.

Lamar Akanusha taarifa za kumchukua Chid Benz.

Kumekuwa na mambo mengi yanayoendelea juu ya msanii Chid Benz juu ya matumizi ya madawa ya kulevya,ambapo kusambaa kwa picha na video zake zikimuonyesha akiwa mwenye afya mbaya, na picha hizo na video kumepelekea kila shabiki wake kushangazwa na maisha anayoishi sasa Chid Benz.

Lakini kumekuwa na taarifa katika mitandao ya kijami juu mtayarishaji Lamar kumchukua Chid Benz na kumpeleka katika “Sober House’.

Team tizneez imezungumza na Lamar ambapo Lamar amesema ‘So kweli na sijui kwanini watu wanasema hivyo, nadhani ni kwakuwa watu wamenionanae wiki kadhaa nyuma. Ila tupo katika mazungumzo na wasanii wengine tuweze kumsaidia”

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

 

Attachment