LADY JAYDEE SIKU 30 ZA KUAMKA TENA

jay-dee

LADY JAYDEE SIKU 30 ZA KUAMKA TENA

Give me love ulikuwa ni wimbo wake wa mwisho kutoa na wimbo huu ulikuwa ni wimbo mkubwa hata kuchechezwa katika media kubwa za nje ya nchi kama Mtv.

Baada ya hapo kimya kikubwa kilitawala kutoka kwa Anaconda ambaye hakuwa anasema wala kupost chochote katika mitandao ya kijamii licha ya mashabiki zake kuendelea kutoa maoni yao katika picha zake za zamani katika hali ya kuonyesha upendo.

Mapema leo Komando Jide amepost video ikionyesha ishara ya kurudi tena kwenye muziki, na hakika ni faraja kwa wapenzi wake ambao walionyesha hisia zao katika ukurasa wake wa mtandao wa picha Instagram. Jide aliandika “30 days to go, lady jaydee official count down naamka tena”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez