Lady jaydee Ashangazwa na uzushi wa mitandaoni

jay-dee
Kupitia kile kinachoendelea kuongelewa katika mitandao ya jamii kuhusu kukopi wimbo wa ndindindi ambao sasa ni wimbo unaofanya vizuri katika vyombo vya habari ndani na nje ya nchi.
Kupitia mtandao wa picha Komando Lady Jaydee hakusita kuweka wazi kwa kile kinachoendela juu ya yeye kuonekana amekopi wimbo huo.
Jide ameandika “Ukirudi chini kwenye post zangu za mwaka jana utaikuta hiyo picha
Aliekunywa maji sana ni Seven Na huyo mdada mwingine ni Naava Grey wa Uganda
Ambae wiki hii tu nimempost kafanya cover ya NdiNdiNdi Hizo video mnazo zungusha na kudai nimeiba wimbo source ni page yangu
Nitaiba afu ni post original kweli????
Huo utakuwa ujinga wa kiwango Cha Lami Na Kama nimeupenda si naununua tu
Why niibe, lini nimewahi kuiba ???
Risasi zimeisha, Visu vime isha
Sasa mnaanza kurusha hadi Mawe?????

Ukirudi chini kwenye post zangu za mwaka jana utaikuta hiyo picha Aliekunywa maji sana ni Seven Na huyo mdada mwingine ni Naava Grey wa Uganda Ambae wiki hii tu nimem post kafanya cover ya NdiNdiNdi Hizo video mnazo zungusha na kudai nimeiba wimbo source ni page yangu Nitaiba afu ni post original kweli???? Huo utakuwa ujinga wa kiwango Cha Lami Na Kama nimeupenda si naununua tu Why niibe, lini nimewahi kuiba ??? Risasi zimeisha, Visu vime isha Sasa mnaanza kurusha hadi Mawe????? Na mbona hamjasambaza za M Namibia, Mkenya Na kuna ya Mzambia inakuja by the way kakamua mbayaaaaa.... Nachoweza kusema naiona safari ya Naava kutoboa Tanzania Sauti yake inapenya ndio maana version yake inazunguka Karibu Kwenye Soko la Tanzania @naavagreyug Watu wamekukubali ile ki NdiNdiNdi

A photo posted by Lady JayDee (@jidejaydee) on


www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez