Lady Jay Aanza kuhesabu masaa

jide+clip

Lady Jay Aanza kuhesabu masaa

Ndi Ndi Ndi ni wimbo wake uliofanya vyema katika upande wa audio na video. Wimbo huo ambao ulivyotoka haukuwa umewashika watu ila kila siku ilivyokuwa inakwenda ndipo ukaweza kuwashika watu zaidi.

Mapema kupitia mtandao wa picha “Instagram” Lady Jay Dee komando ameandika “Jumatatu Tar 4 July 2016 Sawa Na Wao itasikika hewani kwenye Radio na Sehemu zingine mbalimbali uzipendazo
Kaa Tayari Kupokea
#SawaNaWao
#SawaNaWao
#SawaNaWao

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez