“Kwanini Waziri useme utakaa na Diamond kudiscus Haki miliki badala ya Tuma?”Wakazi

Hizi ni  tweet kutoka kwa raper chini ya mwamvuli wa hiphop Wakazi,ambaye mara zote huwa hapendi kuficha mitazamo yake.

Soma tweet zake hapa chini.

“Mheshimiwa Dr Mwakyembe unafeli kinoma chief!! So Wizara inataka ku-adapt “copyright laws & regulation” za Wasafi for the whole country?!”

“Pale ambapo Dokta mzima anachanganya “madawa” (pun intended). You are mixing copyright na rights to sell as an aggregator… #MwakyembeOut”

“Wasanii tuna deal na Wizara Tatu: Habari Michezo na Sanaa, Viwanda na Biashara, Tamisemi”

 

“Issue za Copyright zipo chini ya Mwijage”

“Nadhani Dr Mwakyembe ungem consult Mh Charles Mwijage kwanza. That’s how Mh Nape Nnauye was doing. Tulikuwa tunakaa vikao na both Ministers”

“Alafu mfumo wa Waziri kukaa na msanii mmoja mmoja umetoka wapi wakati Rais @MagufuliJP alikataza. Alisema serikali ita deal na vyombo rasmi”

“Kwanini Waziri useme utakaa na Diamond ku discuss “haki miliki” badala ya kukaa na Shirikisho la Muziki na TUMA. Ndio vyama vyetu rasmi”

“Ila kuhusu haki miliki, Diamond hapana. He doesn’t know it the way Kamati yetu inavyojua, kamati iliyochaguliwa na all artist by the way”

“Kamati had: MwanaFA, Lameck Ditto, Khadija Kopa, Ally Choki, Aika, Wakazi, Nikki Wa Pili, VeeMoney, Keisha, Kalapina, Ado Novemba, Babu Tale”

Mwisho

Follow www.tizneez.com on social media Twitter tizneez

Facebook Page tizneez

Instagram Tizneez

Youtube tizneez