Kutoka kwa Stereo ni muhimu kwa mashabiki na wasanii wa hiphop.

IMG_3286

Team tizneez ilizungumza ni moja ya wasanii wazuri wa hiphop Stereo kuhusu mabadiliko ya hiphop, pia kile ambacho kimeonekana kwa wengi wao kukosoa mabadiliko hayo. Hivyo amechambua kuanzia hiphop ilipotoka mpaka sasa, na mtazamo wake juu ya wakongwe wa hapa nchini, kipi kfanyike kwa wasanii wa hiphop chipukizi wenye kuongea zaidi ya wasanii kadhaa wa zamani.

Msikilize hapa chini. Mifano ya wasanii kama Fid q, Jay Mo na wengine wengi imetolewa hapa.