“Kufanya kazi na msanii wa kimataifa haikufanyi uwe msanii wa kimataifa” Fid Q

Hii ni hoja moja tu aliyozungumza msanii wa hiphop Fid Q. Ila ameiambia mambo matatu tizneez hivyo tumeanza na hili.

Sikiliza hapa chini.