Kama ni kweli hafai kuwa kiongozi

IMG_2815

Kama ni kweli hafai kuwa kiongozi

Ni moja kati ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya mwenye misimamo ndani ya muziki na nje ya muziki.

Muite Mgosi  Mkoloni ambaye pia na mwenzake Dk John wanaunda kundi la wagosi wa kaya, na kupitia katika mtandao wa Facebook kwenye ukurasa wake ameandika “

“Kama ni kweli hafai kuwa kiongozi.

“Habari kupitia mitandao zinasema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuja Dsm ni mpaka mtu uwe na sifa maalum au ufike kusalimia na usikae sana???

JIBU

Mimi Mgosi Mkoloni pamoja na vijana wenzangu tunakuja Dsm na tunayo sifa moja kubwa ya kuzurura tu! Kuhusu kusalimia na kutokaa sana,Bwana Paul tunakuja Dsm na tutakaa sanaaaa!!! Hatujaanza kuja jana wala juzi na hakuna wa kutuzuia kuja Dsm,kuzurura na kukaa muda tunaotaka….. Siji peke yangu,la hasha! Tupo wengi sana na hakuna wa kutuzuia.

‪#‎TunamiminikaDar
‪#‎BoraUngekaaKimya
‪#‎Wazururaji
‪#‎KaziHakuna
‪#‎DarNyumbani

Nyumbani ni nyumbani.”

 

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube Tizneez