Kaligraph Jones asema Nikki Mbishi ndiye aliyemtambulisha Bongo

Kaligraph Jones asema Nikki Mbishi ndiye aliyemtambulisha Bongo.

Msanii wa muziki wa hiphop kutokea Kenya Kaligraph Jones ambaye sasa hivi ndiye nyota wa mchezo katika ramani ya muziki wa Kenya.

Mapema leo kupitia kipindi cha Xxl Clouds Fm hakusita kuweza wazi msanii ambaye alitambulisha Bongo ambapo amesema “Shukrani sana kwa Nikki Mbishi yeye ndiye msanii aliyenitambulisha hapa Bongo”.

Lakini Kaligraph hakuacha kutaja wasanii wengine ambao anawakubali ambapo amesema “wengine ninao wakubali sana ni Stereo, One the Incredible na Songa.

Na hatuachi kusema kwa hakika nyakati zote “Kweli hata ifichwe vipi itakuwa wazi tena pale kwenye uficho” Tafakari…

#TuzungumzeMuziki