Kalapina Akosoa ujio wa Chid Benz.

Capture

Kalapina Akosoa ujio wa Chid Benz.

Mstari wa mbele ni wimbo wake uliompatia umaarufu mkubwa katika uwanja wa muziki wa hiphop.

Kalapina ambaye sasa amekuwa akifanya harakati nyingi katika kuikomboa jamii kwenye swala zima la matumizi ya madawa ya kulevya.

Mapema Kalapina hakusita kusema mtazamo wake juu ya Chid Benz ambaye hivi karibuni alikuwa kwenye uangalizi ili aweze kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

Kalapina amesema “Chid amerudi ampoteza touch nilitegemea kusikia akisema wakina pina wamemsaidia pia maswala ya madawa. Ila kwa ujio wake huu watu  wanaona kama miyeyusho hivi”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez