KALA PINA AVUKA KIKWAZO CHA KWANZA

PINA
Karama Mosoud maarufu kama Kala Pina ambaye pia ni msanii wa muziki wa hip hop ambaye aliwahi kutamba na nyimbo kama mstari wa mbele, umoja ni nguvu hip hop bila madawa na nyingine nyingi,pia ni mtangazaji na mmiliki wa kipindi cha Harakati kinachorushwa na kituo kimoja cha tv hapa inchini.
Ni siku chache zimepita tangu atangaze nia ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya chama cha Act ambapo uchaguzi mkuu utafinyika october 25 mapema mwaka huu.
Mosoud Karama alipata pingamizi kutoka kwa mgombea Iddy Azan kutoka chama cha mapinduzi(ccm)
Kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika “Alhamdululahi namshukuru mwenyezi mungu nimeshinda rufani yangu dhidi ya pingamizi la Azan Iddy Mohamed na sasa hivi ni mgombea halali ubunge Jimbo LA kinondoni Act Wazalendo”
11201609_886606711433897_4634063204507632004_n
Unaweza kuwa rafiki yetu facebook.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/tizneez