Kacci Awatupia lawama wasanii wa Morogoro

Kacci Ni moja kati wa wasanii wanaofanya vyema pande Morogoro, ambaye pia ndiye msamaji wa kundi la Team Recers ambao waliwahi kufanya vyema na nyimbo kama Tunavuka mipaka, washa washa, ngoma moja na nyingine nyingi.

Townson ni wimbo wake unaofanya vyema sasa katika vituo mbalimbali vya radio na runinga. Team tizneez haikusita kufanya nae mahojiano na msanii huyo kupitia WatApps ambao hii imekuwa ni aina nyingine ya mahojiano ili kuendelea kuleta utofauti zaidi kati yetu na blog nyingine.

Chini hapa ni Chat ya Kacci na Mhariri mkuu wa Tizneez Batro.

Screenshot_2016-08-11-18-33-16

Picha chini kAcci.

_MG_3314

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez