K wa Maujanja amsifu Jay MO

DSCF2475

K wa Maujanja amsifu Jay MO

Maujanja Saplaya ni kundi la muziki wa hiphop ambalo sasa linafanya vyema na wimbo wake wa Kipande na wana waliowashirikisha wakali Linex na Becka Title.

K wa maujanja hakusita kumpa sifa msanii mkongwe Jay Mo kupitia wimbo wake wa pesa ya madafu ambao ni wazi wachache wamekuwa wakitoa maneno yasiyofaa juu ya wimbo huo.

D maujanja alisema “Kiukweli ni ngoma kali Mo amejua kwenda na wakati, unajua watu ifike mahala wajue game inataka nini. Binafsi naikubali ngoma ile iko poa pia mchizi amefanya vizuri.

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez