JUX NA KEISHA WAJIUNGA TUMA

3b4c0a35c503b6623a260af30d902861

Tanzania Urban Music Association (TUMA) hiki ndicho chama ambacho kinatambuliwa na BASATA ambacho ni chama halali cha wasanii wa kizazi kipya.

TUMA imeendelea kupokea wanachama wengi mwaka huu ukitofautisha na miaka mingi ya nyuma, hakika ni jambo jema na lakusifu pia.

Katibu wa TUMA ndugu Samweli Mbwana ameendelea kupokea wanachama wapya katika chama hicho, ambapo mapema leo amepokea wasanii wawili wa bongo fleva Jux na Keisha. Hakika hii ni dalili nzuri ya kuwa na umoja wa wasanii wa kizazi kipya.

picha ya msanii Keisha

K-Sher-2-300x200

Andiko kuhusu TUMA inafanya kazi gani na umuhimu wake litafuata muda mfupi ujao usikae mbali tufuate katika mitandao yetu ya kijamii.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez