Jux Aweka wazi anachosomea China.

3b4c0a35c503b6623a260af30d902861

Jux Aweka wazi anachosomea China.

Maneno ni mengi kwenye mitandao ya kijamii kwenda kwa msanii chipukizi Jux juu ya kile ambacho anasomea China.

Jux leo hii ameamua kuweka wazi kile ambacho anasomea nchini China. Jux amesema “Mimi kule China nasomea Computer Science”

Kwa sasa Jux anafanya vyema na wimbo wake wa “WIVU” kwenye vituo tofauti vya habari.

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez