Jux Asema “Rama Dee ni msanii mkali wa Rnb”

vlcsnap-2012-09-14-17h51m57s124

picha ya msanii wa Rnb Rama Dee

Jux Asema “Rama Dee ni msanii mkali wa Rnb”

Wivu ni wimbo wake unafanya vyema sasa katika vyombo mbalimbali vya habari.

Akiongea na Team Tizneez hakusita Jux hakusita kueleza hisia zake juu ya Rama Dee ambapo amesema “Rama Dee ni msanii mkali wa Rnb na ninamuheshimu.

Na watu wategemee kazi yangu na Rama Dee nilishaongea nae kama brother nataka kufanya kazi na wewe pia yeye alisema anapenda kazi yangu. Hivyo muda wowote ule tukijipanga tutawambiwa watu.

Picha ya Jux chini ambaye pia ni msanii wa Rnb

images

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez