Juma Nature Ahoji juu ya wauza unga kwa wasanii

juma_nature

Juma Nature Ahoji juu ya wauza unga kwa wasanii

Ni moja kati wa wasanii wakongwe ambaye anaongoza kwa kufanya show nyingi kwa sasa kuliko wengine.

Juma Nature hakusita kutoa maneno juu ya wasanii wengi wanaotumua madawa ya kulevya, ambapo amesema “Kuna mambo ambayo nikijiuliza jibu sipati hivi ni kweli kuna wasanii wanakula mambo? hivi mbona sisi uuni tumepitia lakini lakaya hii ni mpya punguzeni kuiga wadogo zangu jamii inawategemea…mana hatatukisema tuwaombeee kazi bure mtarudia tu! Kwani huyo anayewauzia anawashikia bastora ndugu zangu? Mimi sijapendezwa namichongo famfa kujiendekeza banaaaaa.”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez