JUMA NATURE AELEZA ALIVYOWEZA KUKWEPA MTEGO WA MADAWA YA KULEVYA

Juma-Nature

Mkongwe wa game ya muziki wa bongo fleva kautoka pande za Temeke Sir Juma Nature ambaye kwasasa anamiliki pia studio yake mwenyewe ya Halisi Records.

Juma Nature hakusita kuweka wazi juu swala zima la madawa ya kulevya na jinsi alivyoweza kuukwepa mtego huo ambapo alisema”Mtego wa madwa nimeukwepa na usikivu kutoka kwa wazazi,Ila kitu kinachonisumbua ni monde tu(pombe) lakini pia hivi karibuni nitaikimbia.”

Source Planet Bongo

Mwisho.