JOSEPH MBILINYI (SUGU) APETA, ASHINDA KWA KISHINDO

IMG_2811
Ni kipindi cha pili sasa kuweza kushinda nafasi ya ubunge katiki Jimbo la Mbeya.Mara ya kwanza alishinda mwaka 2010 chini ya chama chake cha Chadema ambacho mwaka huu kiliunda umoja uitwao Ukawa.
Joseph Mbilinyi ambae ndiye msanii wa hiphop music kuingia bungeni kwa mara ya kwanza katika nchini ya Tanzania.
Joseph Mbilinyi ameweza tena kutetea nafasi yake tena na kuweza kushinda kwa kishindo hivyo anarudi tena bungeni kuwakilisha wananchi wake wa Mbeya.
Joseph Mbilinyi pia ndiye msanii wa kwanza kutoa album katika muziki wa Bongo hiphop.album hiyo iliitwa NI mimi ambayo ilitoka mwaka 1995.
Team tizneez inampongeza kwa ushindi huu.