JORS BLESS “RAMA DEE ANA UTUNZI WA KIPEKEE”

DJ-JorsBless1

Jors Bless ambaye ni miongoni mwa watayarishaji wakali tuliobarikiwa kuwa nao katika ramani ya Bongo Flava/Hiphop hapa Tanzania.

Jors Bles ambaye sasa ametoa Cover ya wimbo wa Adele ambao ameonekana kuutendea haki wimbo huo katika kila upande. Licha ya kuwa mtayarishaji wa muziki pia ni Dj katika kituo kimoja cha Radio Jijin Dar es salaam.

Kupitia mtandao wa Twitter @tizneez ilimuuliza Jors Bless juu ya msanii wake wa Rnb wa Tanzania kwa wakati wote ambapo Jors Bless alisema “Ni Rama Dee,maana ana utunzi wa kipekee ambao kwa namna moja au nyingine huhusisha moja kwa moja jamii inayomzunguka pia ana melodies nzuri.And the biggest reason ni chemistry tuliyonayo tunapofanya kazi pamoja nikiwa kama producer”

Picha chini ya zamani kidogo ikimuonyesha Rama Dee akiwa na Jors Bless

rama dee and jors bless

Picha chini ikimuonyesha Rama dee akiwa na mtoto wake nchini Australia

 

Rama-3

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez