JOH MAKINI KILA MTU ANA UHURU WA KUJIAMULIA

Johmakini.1

Zimbaki siku 5 tu tuweze kupiga kura za kuchagua viongozi kuanzia ngazi ya diwani,mbunge na rais hivyo ni vyema  kufanya uchaguzi wa amani.

interview hii ilifanyika Dar LIve Mbagara siku ya show ya the jump off michano ya times fm iliyokuwa chini ya Jabir Saleh.

Unaweza kuwa rafiki yetu

facebook.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/tizneez