Joh Makini Aweka wazi mipango yake kimuziki mwaka 2017.

Joh Makini Aweka wazi mipango yake kimuziki mwaka 2017.

Waya ndiyo wimbo wake unaofanya vyema katika katika media tofauti ndani ya nchi na nje pia.

Joh Makini ambaye pia ni moja kati ya wasanii watano wanaounda kampuni ya Weusi. Nick wa Pili ni moja kati ya watano hao, ila Bonta, Lord Eyez, Gnako ,pamoja na Joh Makini mwenyewe.

Mapema leo kupitia kipindi cha Ladha 3600 Efm kinachotangazwa na Jabir Saleh , Joh Makini hakusita kuweka wazi mpango wake wa mwaka 2017.

Joh Makini amesema “Mwaka huu nitabadilisha mfumo wa utoaji ngoma zangu, watu wengi hufikiri natoa nyimbo nyingi si kweli, mimi natoa ngoma chache tu ila kwakuwa ngoma zinakuwa kubwa ndio maana wengi huisi kuwa nyingi.Ila mwaka huu utakuwa tofauti zaidi”

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa