JAY MOE AFANYA KAZI NA BARAKA DA PRINCE

CV79z_iWIAAA5CG.jpg large

Hili game ndio kazi yake mkali Jay Moe inayofanya vizuri katika media mbalimbali hapa nchini.Ngoma hiyo ya hili game amefanya na mkali Deddy na imetayarishwa na producer bora wakti wote Pfunk Majani.

Baraka Da Prince ni msanii aliyechipukia mwaka huu na kufanya vizuri na wimbo kama jichunge na sasa anafanya tena vizuri na wimbo wake wa nikuvumilie aliyofanya na mkali Ruby.

Kupitia mtandao wa picha Instagram Jay mo alipost picha na kuandika” What A Session…@barakah_daprince U Done Did It Boy, Thanx 4 The Great Session And Amazing Hook,#CantStopWontStop Na Wee @majani187 “Kanyaga Ila Usitimbe Timbe Hivyo” Ndo Kwanza Single Ya Pili

Endelea kukaa karibu na tizneez uwe wa kwanza kujua kazi itakuaje pale tu inapaokuwa imetoka.