JAY MO “WAANDISHI WA MASHAIRI WANASTAHILI NAFASI”

CV79z_iWIAAA5CG.jpg large
Ni siku kadhaa zimepita tangu aachie ngoma yake mpya inayoitwa Hili Game aliyotengenezwa na producer wake wa muda mrefu P Funk Majani chini ya Bongo recods.Jay mo ambaye amewahi kufanya vizuri na ngoma kama story tatu,kimya kimya,cheza kwa step,bishoo,famous na nyingine nyingi.
Kwenye wimbo wake wa hili game Jay mo amezungumza mambo mengi ambayo ikapelekea baadhi ya wasanii kumpongeza,Mmoja wa wasanii aliyompongeza Jay mo ni P the mc ambaye alisema “hili game ya jay mo amezungumza ukwel mtupu hajaacha kitu humu”
Mapema leo Jay mo amesema “umefika muda waandishi wa mashairi nao kupatiwa nafasi soko la muziki bongo.Ili kupeleka sanaa yaetu mbele zaidi.

source Planet Bongo