JABIR SALEH THE JUMP OFF MICHANO NI KUENDELEZA HIP HOP

Jabir

tarehe 29 mwezi huu yani jumamosi hii tunahitimisha shindano la THE JUMP OFF michano ambalo lilianza miezi mitatu iliyopita

Shindano la the jump off michano lilikusanya vijana zaIDI YA 32O Ambao wanafanya muziki wa rap pekee mpaka kufikia sasa wamebakia vijana 10 ambao watachuana wikiendi hii pale dar live.
Dhumuni la shindano hili ni kusupport muziki wa rap na wana hip hop kwa ujumla na kuibua vipaji vipya hii ni kwa sababu muziki wa rap na utamaduni wa hiphop ulionekana kukosa nguvu inayostahili kwa vyombo vya habari na kusababisha malalamiko ya mara kwa mara toka kwa wana hiphop wakiamini hawapati nafasi ya kutosha katika radios za hapa nyumbani .

kipindi cha the jump off CHA TIMES FM kimekua ni sehemu ya maendeleo ya muziki huo hapa nchini nakufanya jitihada mbalimbali ikiwemo shindano hili na kuwa na chat ya rap za nyumbani pekee ingawa pia kinatoa nafasi sawa na aina zingine zote za muziki.
Hivyo jumamosi hii tutatafuta mshindi ambae atapata nafasi ya kufanya kazi na maproducer wakubwa Hermy b na Jorsbless sambamba na pesa taslim kwa mshindi wa kwanza mpaka wa tatu.
wasanii watakaosindikiza ni Weusi,roma,madee,Bill nass,Chemical msaga sumu na dogo jaxime

Unaweza kuwa rafiki yetu facebook.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/tizneez