JABIR SALEH AMLIZA GODZILLA

index

Jabir Saleh ni moja kati ya watangazaji bora  ambaye amekuwa akifahamika zaidi kwa jina la Kuvichaka au Kibonge Tozi.Jabir ambaye anafanya kipindi cha The jump off na Bongo.home kinachorushwa nakituo cha Radio Times Fm jijini Dar Es Salaam.Pia jabir ni moingoni mwa watangazaji ambao wamekuwa wakisupport zaidi muziki wa hiphop wa Tanzania,na kwasasa ameweza kuanzisha chati ya muziki wa hiphop ambayo ni chati pekee iliyopo na  inajumuisha nyimbo kumi za hiphop.

Kupitia ukurasa wake kwenye  mtandao wa picha Instagram Jabir aliandika “since zillah ameingia kwenye game nmekua shabiki wa kaz zake na hasa ile miaka ya awali alinigusa sana one thing ambacho naona cha kipekee anacho ni kua ana touch zote za oldskul na nu skul yan ana uwezo wa kubamba mtu wa zaman na wa sasa hapa ni kwenye flows zaid na kias flan katika uandish simply zillah amekamilika kwa namna flan #salute zeee zeeee @kingzilla_tz kama unamkubal tag him aone hw many of u mnakubali … #kawebeachgang”

Hata hivyo Godzilla alishindwa kuzuia hisia zake na kucomment”da brother thAnk you saaana …i cried men .Thank you”

Godzilla ni miongoni mwa wasanii wakali wa hiphop,ambao wamefanya vizuri zaidi miaka ya hivi karibuni ingawa bado anaendelea kutoa hits songs.Lakini kukuwa kwa mziki kumesababisha apate upinzania mkali katika tasnia ya muziki wa hiphop,kutoka kwa wasanii walichipukia kama Young Killer,Billnas,P the mc na wengine wengi.Kutokana ma kile alichokiandika Jabir Saleh ni dhahiri Godzilla anafanya vizuri kama akiwa anatumia style ya oldskul.Ukizingatia Jabir ni moja kati ya mtangazaji anaefahamu zaidi hiphop. Godzilla amewahi kufanya vizuri na nyimbo zake kama,Sala sala,king zilla,la kuchumpa.milele,nataka na nyingine nyingi.

Post ya Jabir Saleh hii hapa chini\

jabir

Instagram/TIZNEEZ
Twitter/TIZNEEZ
Facebook/TIZNIZ