JABIR SALEH AJIUNGA NA EFM RADIO

index

JABIR SALEH AJIUNGA NA EFM RADIO

Hakika ni habari njema kwa mashabiki wa Jabir Saleh ambaye tangu mwaka 2016 uanze hajapata kusikika hewani.

Jabir a.k.a Kuvichaka, Kibonge tozi au Makataba ambaye amejijengea umaarufu mkubwa kupitia kipindi cha The Jump Off pamoja na Bongo.home vilivyokuwa vinaruka tokea radio Times Fm.

Jabir pia ni miongoni mwa watangazaji wenye uelewa mpana hasa katika maswala mazima ya uchambuzi wa hiphop, hivyo kitendo cha kutokuwepo hewani kwa miezi mitatatu hakika ni jambo lilikuwa likiwanyima mashabiki walio wengi fursa pekee ya darasa la bure juu ya muziki huo wa hiphop.

Hivyo sasa ni wazi furaha ya mashabiki wake itarejea baada ya pale atakapoanza kusikika upya katika studio za Efm

Team tizneez inakutakia kila la kheri katika maisha mapya ya Efm.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez