Izzo Bizness Azungumzia The Amazing na ufanyaji wake kazi na Abela

afcfe-amazing-izzo-biznez-na-abela-music-1024x736.jpeg

Dangerous Boy  ni wimbo wake unaofanya vyema sasa kwe ye vituo vya radio na runinga hapa nchini Tanzania.

Izzo Biznees hakusita kuikweka wazi tema tizneez juu ya mapokeo ya wimbo huo, ufanyaji kazi na Abela, The amaizing na matarajio yake baada ya wimbo huu wa sasa.

Akiongea na Batro ameeleza

Msikilize hapa chini.