INSTAGRAM YAMVERIFY DIAMOND PLATNUMZ

index
Star wa ngoma ya Nana ambayo amefanya na Mr Fleva wa Nigeria,Nana ni wimbo ulioweza kumpeleka kimatifa zaidi baada ya kuchukua tuzo tatu za kimtaifa.
Msanii Diamond Platnumz amekuwa akisonga mbele kimziki kila iitwapo leo,maana mpaka sasa meshafanya kazi na msanii kutoka nchini Marekakani ambaye ni Neyo.
Kupita mtandao wa picha Intagram leo hii account ya Diamond Platnum imekuwa verified na amekuwa ni msanii wa kwanza katika muziki wa bongo fleva
Capture.