HOTUBA YA MWANA FA HAKI MILIKI NA UGAWAJI MIRABAHA TV NA RADIO

IMG_2160
Hotuba hii itolewa jana katika ukumbi wa sayansi kijitonyama,ambapo ilifanyika semina ya wasanii wa bongo fleva juu ya haki miliki pamoja na kupata haki ya mirabaha yani media kulipa kazi za sanaa za wasanii pale tu wanapokuwa wanacheza katika vituo vyao.
Mwana Fa ni moja kati ya wasanii waliotoa hotuba katika semina hiyo,Msikilize hapo chini.