Hemedy Aeleza kikwazo chake kwenye muziki

maxresdefault

Hemedy Aeleza kikwazo chake kwenye muziki

Ni wewe ni wimbo wake mpya aliotambulisha wiki katika vituo vya radio kadhaa hapa nchini.

Hemedy hakusita kuweka wazi kile ambacho kinachangia kurudisha muziki wake nyuma. Ambapo alisema “Kikwazo changu ni kuwa mwenyewe kuna muda nakuwa location tena mbali hivyo ni ngumu kujigawa lakini kama nikipata meneja najiona mbali zaidi. Hivyo nashindwa kwenda sawa na kasi ya muziki na filamu maana nipo mwenyewe kujigawa na ngumu. Ila kama kuna meneja mwenye plan zaidi ajitokeze tufanye kazi”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez