HARMY B “AZUNGUMZIA YA MABESTE

91a3b__hermy-b_full
Mtayarishaji wa muziki wa bongo fleva Harmy B ambaye pia ni mmiliki wa studio ya B hits records zenye maskani Jijijini Dar es Salaam.
Baaada ya saa chache tangu msanii aliyewahi kuwa label ya B hits records Mabeste kuandika katika mtandao wa kijamii (Instagram)kuhusu matatizo yanayomkabili mke wake kwasasa,kitu ambacho kimewashangaza watu wengi.Team tizneez ikiaamua kumtafuta kiongozi wa Bhits Harmy B ili kujua walivyopokea na jinsi gani wamepanga kumsaidia
Harmy alisema”sisi kama sisi kila siku tunasaidiana na Mabeste yani tuna trend ya kusaidiana,na tunafahamu kwa muda mrefu matatizo ya mke wa Mabeste.Pia kama Bhits hatuwezi kuonyesha kwa watu kama tuna misuli ya kumsaidia ila kila siku tunasaidia na Mabeste,na siwezi kusema eti ntatoa kiasi flani itabaki sisi na Mabeste katika swala letu la kusaidiana kila iitwapo leo.Na watu wafahamu Mabeste tuna urafiki mzuri wa kusaidiana

Alichopost Mabeste
Screenshot_2015-04-15-14-18-38
Screenshot_2015-04-15-14-21-02