HARMONIZE “AELEZA KUCHELEWA KUONEKANA JUKWAANI”

index5
Aiyo;a ni wimbo wake uliomtambulisha kwenye game ya muziki wa bongo fleva chini ya usimamizi wa WCB Wasafi iliyoko chini ya Diamond Platnumz.
Horminize ambaye kwasasa anafanya vizuri na video yake ya Aiyola aliyoifanya nchini South Africa.Hormize hakusita kuweka wazi sababu zilizomfanya kuchelewa kuonekana kwenye jukwaa.Horminize alisema”Kuna email nyingi zimeingia za show,lakini kikubwa tulitaka tufanye kwanza video ndio niweze kufanya show,mpaka sasa kuna show nyingi kuanzia Mombasa,Nairobi,Mwanza na sehemu nyingine nyingi.Kwahiyo watu wataniona tu kwenye jukwaa hivi karibuni”.Alisema

Source The jump off.