“Hanscana ni bora kuliko Adam Juma” Rama Dee

“Hanscana ni bora kuliko Adam Juma” Rama Dee

Kipenda Roho ndiyo wimbo wake wa mwisho kuachia katika ramani ya muziki wa kizazi kipya.

Inaaminika kwa mashabiki wengi na hata wachambuzi wa maswala ya muziki kuwa Rama Dee ni msanii bora wa Rnb ukitoa mkali Mr Paul.

Mapema leo kupitia mtandao wa picha Instagram Rama Dee hakusita kuweka mtazamo wake juu ya waongozaji wawili wa muziki video hapa Tanzania. Waongozaji video hao ni Adam Juma na Hanscana.

Katika posti aliyoweka Rama Dee ameandika “Adam Juma huyu dogo yupo vizuri kuliko wewe sasa hivi, Ila unaweza kuwa Kama yeye au zaidi yake kama utajifunza zaidi! You know what I’m talking about Ma nigga! hanscana”

Tupe maoni yako hapa chini

Facebook Tizneez

Twitter Tizneez

Youtube Tizneez

Instagram Tizneez