Hanscana Aweka wazi msanii anaependa kufanyanae kazi

11820714_649999765102448_1875389659_n
Muongozaji anaefanya vyema sasa katika kiwanda cha bongo fleva/hiphop Hanscana. Kupitia mtandao wa picha Instagram hakusita kuweka wazi hisia zake ambapo ameandika “kama nikipanga TOP 3 ya watu nnaofurahi kufanya nao kazi basi ni Abdu Kiba he is the one sababu ananipa muda wa kutosha kufanya kazi na hana makuu kabisa hata kwa bahati mbaya.


www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez