HANSCANA AMPONGEZA BELLE 9

hqdefault

Shauri zao ni video mpya iliyotoka siku ya ijumaa,ambapo mpaka sasa imeshafikisa watazamaji 13,008 kupitia mtandao wa youtube,Video hiyo imefanywa na director bora kwa  wa mwaka 2015-2016 kwa mujibu wa tuzo za watu zinazotolewa na mtandao wa Bongo5.

Kupitia  mtandao wa picha Instagram director Hanscana aliandika “Belle 9 ndiye msanii wa kwanza kunip shukrani baada ya kazi,dah kwa kweli ile shukrani ni zaidi ya pesa yeyote ambayo nimeshawahi kulipwa katika kazi yangu tangu nakuwa Hanscana

Mungu akubariki sana Belle 9 wewe sio wa hivyo kabisa”

Unaweza kuwa rafiki yetu

facebook.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/tizneez