Hanscana Ajitoa kwenye kampuni ta Wanene.

Capture

Hanscana Ajitoa kwenye kampuni ta Wanene.

Kupitia mtandao wa picha “Instagram” director anaefanya vyema sasa Hanscana ameweka post ambayo ameandika “

Special Announcement***
Hanscana na Crew yangu nzima ya videos department HATUPO TENA WANENE ENT tangu 4Aug2016 Kwasababu .
.
1. kutofautiana kimalengo baina ya HANSCANA BRAND na WANENE ENT.
.
Ni Juhudi kubwa sana nilizotumia kuitengenezea jina na kuitangaza NA KUIPIGANIA KAMA KITU CHANGU KABISAAA FROM ZEEEERO TO YEEAH Wanene Ent mpaka kufikia kuwa ni moja ya Kampuni kubwa ya Videos hapa E.A
.
.
2. nimekuwa now (23 )
HANSCANA nahitaji kuwa na Kampuni yangu na mimi
.
BUT HAKUNA UBAYA WOWOTE BAINA YANGU NA WANENE ENT. BADO NNA MAPENZI NA WANENE ENT COZ NI KITU AMBACHO NILIKIPIGANIA MWENYEWE SIWEZI KUKIONGELEA VIBAYA HATA KWA BAHATI MBAYA
.
Nimeamuwa kuliweka hili wazi tokana napokea simu nyingi sana toka vyombo tofaut tofauti vya habari,bloggers etc kujuwa whats happening btwn me n wanene
Na huo ndo ukweli NO MORE

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez