Hali ya Cjamoker sio nzuri ni mbaya anahitaji maombi ya hali na mali” P The Mc

Hali ya Cjamoker sio nzuri ni mbaya anahitaji maombi ya hali na mali” P The Mc

Cjamoker ni mtayarishaji kutoka studio za Chimbo Inc zilizopo mikocheni. Ambapo kwa sasa ndiye mtayarishaji rasmi wa kundi la SSK.

P the mc ni moja kati ya wasanii wanaounda kundi la SSK na ameieleza Tizneez juu ya hali ya Cjamoker kwasasa.

Sikiliza hapa chini.